Daffy Duck

katuni bata From Wikipedia, the free encyclopedia

Daffy Duck
Remove ads

Daffy Duck ni jina la kutaja kikatuni kinachohusikana na mfululizo wa vikatuni vya Warner Brothers Looney Tunes na Merrie Melodies. Daffy alikuwa mbegu ya kwanza kuzaliwa katika mfululizo wa wahusika wa "screwball" ambao walikuwemo kunako miaka ya 1930 na mira za mtu kwa mtu, yaani, uhusika wa everyman, kama vile Mickey Mouse na Popeye, ambao wote walikuwa maarufu sana kwenye makumi hayo. Daffy anafahamika sana kwa kuwa rafiki mkubwa wa Bugs Bunny.

Ukweli wa haraka Mwonekano wa kwanza, Ameumbwa na ...
Remove ads

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daffy Duck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads