Mel Blanc
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Melvin Jerome "Mel" Blanc (30 Mei 1908 – 10 Julai 1989) alikuwa mwigizaji wa sauti na mchekeshaji kutoka nchini Marekani. Ingawa alianza shughuli zake katika makumi sita yaliyopita akiwa kama mfanyakazi wa redio, Blanc anafahamika sana kwa kufanyakazi na Warner Bros. wakati wa zama ziitwazo "Zama za Dhahabu ya Katuni za Marekani" (na kisha baadaye alifanyakazi za matayarisho ya televisheni na Hanna-Barbera) akiwa kama mwigizaji wa sauti ya Bugs Bunny, Daffy Duck, Porky Pig, Sylvester the Cat, Beaky Buzzard, Tweety Bird, Foghorn Leghorn, Yosemite Sam, Wile E. Coyote, Barney Rubble, Mr. Spacely, na mamia wengine kadhaa. Ana jina la utani kama “Mtu Mwenye Maelfu ya Sauti,” Blanc anatazamika kama mmoja kati ya watu wenye athira kubwa ya kazi zake.[1]
Remove ads
Marejeo
Bibliografia
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads