Dagobert II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Dagobert II (650 hivi - 23 Desemba 679) alikuwa mfalme wa Austrasia (676–679).

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Desemba, siku alipouawa.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Marejeo mengine
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads