Dainamo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Dainamo
Remove ads

Dainamo (kutoka neno la Kiingereza: "dynamo" lenye asili katika Kigiriki "δύναμις", maana yake nguvu au uwezo[1][2]) ni kifaa cha kielektroni ambacho kinazalisha nishati ya umeme, kwa mfano kikizungushwa na gurudumu la baiskeli.

Thumb
"Dynamo Electric Machine" (U.S. patent 284110).

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads