Daniel Faraday
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Dr. Daniel Faraday (mara nyingi huitwa Dan au kifupi huitwa jina la ukoo Faraday) ni jina la kutaja muhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Lost, ambacho hurushwa hewani na ABC. Uhusika umechezwa na Jeremy Davies. Faraday alianza kuonekana katika msimu wa nne wa mfululizo huu, na ni mmoja kati ya wanakikosi waliotua huko mjini Kahana.[1] Awali, Faraday alipangwa kwenye orodha ya wahusika watakaonekana mara kwa mara.[2]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads