David Bateson
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ingiza faili
David Bateson (alizaliwa Februari 9, 1960) ni muigizaji na mchekeshaji wa Afrika kusini. Anajulikana zaidi katika kutoa sauti ya Agent 47, muhusika mkuu kwenye IO Interactive mfululizo wa michezo ya video ya Hitman, baada ya kucheza jukumu hilo tangu mwaka 2000 katika kila moja ya michezo nane ya franchise. Pia alitumika kama sauti ya matangazo ya biashara kwenye chapa mbalimbali Lego.[1]
Remove ads
marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads