David Homeli Mwakyusa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
David Homeli Mwakyusa (amezaliwa tar. 9 Mei 1942) ni mbunge wa jimbo la Rungwe Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads