Desturi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Desturi (pia: dasturi; kutoka neno la Kiajemi) ni mwenendo uliozoeleka kufanywa, hivyo ni kama tabia, kaida, mila, mazoea.

Kama imekuwa aina ya kanuni ya jamii fulani, basi inaweza kuwa sehemu ya mfumo wa sheria kwa jamii hiyo.
Marejeo
- John Hund: "Customary law is what people say it is", ARSP Vol 84 1998, 420–433.
- John Comaroff and Simon Roberts: "Rules and Processes: The Cultural Logic of Dispute in an African Context" (1981).
Viungo vya nje
- Customary IHL Database (Kiingereza)
- Bryan H. Druzin (2014, April). "Planting Seeds of Order: How the State Can Create, Shape, and Use Customary Law" Ilihifadhiwa 26 Julai 2014 kwenye Wayback Machine., BYU Journal of Public Law 28: 373–412. (Kiingereza)
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Desturi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads