Dinara
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Dinara ni mlima wa Balkani (Ulaya), kati ya nchi za Korasia na Bosnia na Herzegovina.

Urefu wake ni mita 1,913 juu ya usawa wa bahari.
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Dinara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads