Orodha ya milima ya Ulaya
orodha ya makala za Wikimedia From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Hii Orodha ya milima ya Ulaya inataja baadhi yake tu.
Alpi
Angalia pia: Alpi, Orodha ya milima ya Alpi
- Aletschhorn (m 4,193), Uswisi
- Allalinhorn (m 4,024), Uswisi
- Alphubel (m 4,206), Uswisi
- Balmhorn (m 3,699), Uswisi
- Piz Bernina (m 4,049), Uswisi, kilele cha juu kabisa katika Alpi ya Mashariki
- Bietschhorn (m 3,934), Uswisi
- Bishorn (m 4,153), Uswisi
- Blüemlisalp (m 3,664), Uswisi
- Breithorn (m 4,164), Uswisi - Italia
- Piz Corvatsch (m 3,451), Uswisi
- Dachstein (m 2,997), wa juu kabisa katika mkoa wa Styria, Austria
- Dammastock (m 3,630), Uswisi
- Dent Blanche (m 4,356), Uswisi
- Dent du Géant (m 4,013), Mont Blanc, Ufaransa
- Dent d'Hérens (m 4,171), Italia - Uswisi
- Dents du Midi (m 3,257), Uswisi
- Diablerets (m 3,210), Uswisi
- Dom (m 4,545), Uswisi
- Eiger (m 3,970), Uswisi
- Fiescherhorn (m 4,049), Uswisi
- Finsteraarhorn (m 4,274), kilele cha juu cha Bernese Oberland, Uswisi
- Gornergrat (m 3,135), Uswisi
- Gran Paradiso (m 4,061), Italia
- Grand Combin (m 4,314), Uswisi
- Grandes Jorasses (m 4,208), Mont Blanc, Italia - Ufaransa
- Großglockner (m 3,797), kilele cha juu kabisa cha Austria
- Hochkönig (m 2,938), Austria karibu na Berchtesgaden, Ujerumani
- Jungfrau (m 4,158), Uswisi
- Piz Kesch (m 3,418), Uswisi
- Klein Matterhorn (m 3,883), Uswisi
- Koschuta / Karawanks (m 2,135), Austria - Slovenia
- Lagginhorn (m 4,010), Uswisi
- Lauteraarhorn (m 4,042), Uswisi
- Lenzspitze (m 4,294), Uswisi
- Liskamm (m 4,527), Uswisi
- Marmolada (m 3,343), mlima mrefu wa Dolomiti, Italia
- Matterhorn / Monte Cervino (m 4,477), Italia - Uswisi
- Mönch (m 4,101), Uswisi
- Mont Blanc (m 4,808), Italia - Ufaransa - mlima mkubwa kuliko yote ya Ulaya ya Magharibi
- Mont Blanc de Courmayeur (m 4,748), Mont Blanc Massif, Italia - Ufaransa
- Mont Blanc du Tacul (m 4,248), Mont Blanc Massif, Ufaransa
- Cristallo (mlima) (m 3,199), Dolomiti, karibu na Cortina d'Ampezzo, Italia
- Monte Rosa (m 4,634), Italia - Uswisi mlima wa pili katika Ulaya ya Magharibi
- Piz Morteratsch (m 3,751), Uswisi
- Nadelhorn (m 4,327), Uswisi
- Napf (m 1,407), Flysch Alps, Uswisi
- Nesthorn (m 3,822), Uswisi
- Nordend (m 4,609), Italia - Uswisi
- Ober Gabelhorn (m 4,063), Uswisi
- Ortler (m 3,902), wa juu katika Trentino-Alto Adige, Italia
- Ostspitze (m 4,632), Uswisi
- Pelvoux (m 3,946), Ufaransa
- Pilatus (m 2,129), karibu Luzern, Uswisi
- Rheinwaldhorn (m 3,402), Uswisi
- Rigi (m 1,797), unaoelekea Ziwa Luzern, Uswisi
- Rimpfischhorn (m 4,199), Uswisi
- Piz Palu (m 3,905), Uswisi - Italia
- Santis (m 2,502), Uswisi
- Schlern (m 2,563), Dolomiti, Trentino-Alto Adige, Italia
- Schneeberg (m 2,076), Austria
- Schreckhorn (m 4,078), Uswisi
- Signalkuppe (m 4,554), Italia - Uswisi
- Strahlhorn (m 4,190), Uswisi
- Titlis (m 3,239), Urner Alps, Uswisi
- Tödi (m 3,620), Glarus Alps, Uswisi
- Traunstein (m 1,610), Traunsee, Austria
- Triglav (m 2,864), wa juu kabisa katika Slovenia
- Untersberg (m 1,973), karibu na mji wa Salzburg, Austria
- Weisshorn (m 4,506), Uswisi
- Weissmies (m 4,017), Uswisi
- Wetterhorn (m 3,701), Uswisi
- Wildhorn (m 3,248), Uswisi
- Wildspitze (m 3,774), Austria
- Wildstrubel (m 3,243), Uswisi
- Zinalrothorn (m 4,221), Uswisi
- Zugspitze (m 2,962), Austria, wa juu kabisa katika Ujerumani
- Zumsteinspitze (m 4,563), Italia - Uswisi
Remove ads
Apenini
Angalia pia: Apenini; Orodha ya milima ya Apenini Yote iko nchini Italia: ile iliyozidi mita 1,000 juu ya UB imeorodheshwa hapa chini kufuatana na urefu wake.
Remove ads
Balkani
Angalia pia: Balkani; orodha ya milima ya Balkani
- Ainos (m 1,628), Ugiriki
- Athos (m 2,033), Ugiriki
- Mlima Baba (Pelister, m 2,601), Masedonia Kaskazini
- Milima ya Balkani (Botev, m 2,376), Bulgaria, Serbia
- Belasica (Radomir, m 2,029), Masedonia Kaskazini, Bulgaria na Ugiriki
- Bistra (Medenica, m 2,163), Masedonia Kaskazini
- Celoica (Dobra Voda, m 2,062), Masedonia Kaskazini
- Čvrsnica (m 2,238), Dinarides, Bosnia na Herzegovina
- Deshat (Velivar, m 2,375), Masedonia Kaskazini na Albania
- Dinara (Troglav, m 1,913; Dinara, m 1,831), Dinarides, Kroatia - Bosnia na Herzegovina
- Galičica (Magaro, m 2,254), Masedonia Kaskazini na Albania
- Hymettus (m 1,026), mashariki kwa Athens, Ugiriki
- Jakupica (Solunska Glava, m 2,540), Masedonia Kaskazini
- Jablanica (Black Stone, m 2,257), Masedonia Kaskazini na Albania
- Kopaonik (Pančićev vrh, m 2,017), Serbia
- Kozuf (Zelenbeg, m 2,171), Masedonia Kaskazini na Ugiriki
- Mlima Korab (Golem Korab / Maja e Korabit, m 2,764), wa juu katika Masedonia Kaskazini na Albania
- Parnassus (m 2,460), Ugiriki
- Olympus (m 2,919), wa juu katika Ugiriki - makao ya miungu kadiri ya hadithi za Wagiriki
- Nidze (m 2,521), Masedonia Kaskazini na Ugiriki
- Orjen (m 1,894), wa juu katika Montenegro
- Osogovo (Ruen, m 2,251), Masedonia Kaskazini na Bulgaria
- Panakaiko (m 1,926), Peloponnese, mashariki kwa Patras, Ugiriki
- Pirin (Vihren, m 2,915), Bulgaria - wa tatu katika Balkani, baada ya Musala katika Bulgaria na Olympus katika Ugiriki
- Prokletije (m 2,694), Dinarides, Albania, Montenegro
- Rodopi (Golyam Perelik, m 2,191), Bulgaria, Ugiriki
- Rila (Musala, m 2,925), wa juu katika Bulgaria na Balkani kwa jumla
- Sakar (Vishegrad, m 895), Bulgaria
- Stogovo (Golem Rid, m 2,278), Masedonia Kaskazini
- Mlima Sar (m 2,747), Serbia na Albania na Masedonia Kaskazini
- Smolikas (m 2,640), Ugiriki
- Vitosha (Cherni vrah, m 2,290) Bulgaria
- Zlatibor (Tornik, m 1,496; Čigota, m 1,422), Serbia
Karpati
Angalia pia: Karpati; orodha ya milima ya Karpati
- Gerlachovský štít (m 2,655) - kilele cha juu kabisa katika milima ya Tatra Slovakia
- Vârful Moldoveanu (m 2,544) - kilele cha juu kabisa katika Milima Făgăraş Kusini mwa Karpati, Romania
- Hoverla (m 2,061) - kilele cha juu Chornohora, katika Karpati ya Mashariki, Ukraine
- Kékes (m 1,014) - kilele cha juu Mátra, Hungaria
Kaukazi
Angalia pia: Kaukazi; orodha ya milima ya Kaukazi
- Mlima Elbrus (m 5,642), Urusi [1] - mlima wa juu kabisa katika Ulaya
- Dykh-Tau (m 5,205), Urusi - mlima mkubwa wa pili katika Kaukazi
- Shkhara (m 5,201), Georgia - mlima mkubwa wa tatu katika Kaukazi
- Koshtan-Tau (m 5,152), Urusi
- Janga (Jangi-Tau) (m 5,059), Georgia
- Mlima Kazbek (m 5,033) - mlima mkubwa wa tatu katika Georgia
- Ushba (m 4,710), Georgia - kilele mashuhuri
- Bazardüzü (m 4,485), kilele cha juu katika Azerbaijan
Remove ads
Kupro
- Mlima Olympus (m 1,952), Milima Troodos[2]
Ujerumani
Angalia pia: orodha ya milima ya Ujerumani
- The Brocken (m 1,142) - wa juu kabisa katika Milima Harz, mashariki mwa Ujerumani
- Feldberg (m 1,493) - Black Forest, Ujerumani
- Plöckenstein, Böhmerwald (m 1,378) - Austria - Ucheki - Ujerumani
- Fichtelberg (m 1,214) - Ore wa juu kabisa katika milima mashariki mwa Ujerumani
Rasi ya Iberia
- Aneto (m 3,404), Hispania - wa juu katika Pirenei
- Mulhacén (m 3,479), Hispania - wa juu katika Sierra Nevada na katika Ulaya ya Kusini
- Serra da Estrela (m 1,993), Ureno - wa juu katika Ureno bara
Iceland
- Hekla (m 1,491), Iceland volkeno
- Öræfajökull (m 2,110), volkeno - mlima wa juu kabisa katika Iceland
- Snæfellsjökull (m 1,448), Iceland volkeno
Ireland
- Carrauntoohil (m 1,038), mlima mrefu kabisa katika Jamhuri ya Ireland na kisiwa kwa ujumla
- Beenkeragh (m 1,010), Co Kerry, mlima wa pili katika Ireland
- Mlima Brandon (m 952), Co Kerry, mlima wa juu katika rasi ya Dingle
- Lugnaquilla (m 925), mlima mkubwa katika Leinster na wa 13 katika Eire
- Slieve Donard (m 850), Co Down, mlima mkubwa katika jimbo la Ulster na Ireland ya Kaskazini
- Mweelrea (m 814), Co Mayo, mlima wa juu katika Connacht
Remove ads
Scandinavia
- Galdhøpiggen (m 2,469), mlima wa juu nchini Norwe
- Haltitunturi (m 1,328), mlima wa juu nchini Finland
- Kebnekaise (m 2,111), mlima wa juu nchini Uswidi
Ufini
Norwei
Norwei ina vilele 185 juu ya m 2,000[3]
Uswidi
Uswidi una vilele 12 juu ya urefu wa mita 2,000.
Kilele kingine cha Uswidi
- Åreskutan m 1,420
Remove ads
Uingereza
- Ben Nevis (m 1,344), mlima wa juu wa Scotland na Britania
- Cross Fell (m 893), mlima wa juu wa Pennines
- Kinder Scout (m 636)
- Scafell Pike (m 978), mlima wa juu wa Uingereza
- Slieve Donard (m 850), mlima wa juu katikwa Ireland ya Kaskazini
- Pen y Fan (m 886), mlima wa juu wa Wales Kusini
- Pumlumon Fawr (Plynlimon) (m 752), mlima wa juu wa Mid Wales
- Snaefell (m 621), mlima wa juu wa Isle of Man
- Aran Fawddwy (m 906), Wales
- Snowdon (m 1,085) mlima wa juu kabisa katika Wales
Mingine
- Etna (m 3,263) - volkeno wa Sicily, Italia
- Mlima Ventoux (m 1,909) - Ufaransa
- Mlima Vesuvius (m 1,270) - volkeno maarufu Italia
- Mlima Circeo - Italia
- Teide (m 3,718) - Tenerife katika visiwa vya Kanari, wa juu katika Hispania
- Roque de los Muchachos (m 2,423) - La Palma katika visiwa vya Kanari
- Mlima Pico (m 2,351) - Pico (Azori), visiwa vya Azori, wa juu katika Ureno
- Beerenberg (m 2,277) - volikano hai, kisiwa Jan Mayen
Angalia pia
- Orodha ya volkeno
- Orodha ya milima
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads