Djigui Diarra
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Djigui Diarra (alizaliwa 27 Februari 1995) ni mchezaji wa kitaalamu wa mpira wa miguu wa Mali anayecheza nafasi ya mlinda mlango katika klabu ya Ligi Kuu Tanzania Bara ya Young Africans S.C. na timu ya taifa ya Mali.[1] Aliwakilisha nchi yake katika Kombe la Dunia la FIFA chini ya miaka 20 ya 2015, ambapo walifikia nafasi ya tatu.[2]
Kazi
Diarra alijiunga na klabu ya Kitanzania ya Young Africans mwezi Agosti mwaka 2021.[3] Katika klabu hiyo, Diarra amebobea na kuteuliwa kwenye orodha ya wanaowania tuzo ya Kipa Bora msimu uliopita.[4]
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads