Dominique Mamberti
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Dominique François Joseph Mamberti (alizaliwa 7 Machi 1952) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa, anayehudumu kama Prefekti wa Mahakama Kuu ya Kitume (Apostolic Signatura) katika Curia ya Kipapa.
Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali mwaka 2015.[1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads