Donovan Mitchell
Mchezaji wa mpira wa kikapu wa Marekani From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Donovan Mitchell Jr. (amezaliwa Septemba 7, 1996) ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa kulipwa nchini Marekani wa timu ya Cleveland Cavaliers wa Chama cha mpira wa Kikapu Marekani (NBA). Jina la utani "Spida",[1] alichaguliwa katika raundi ya kwanza ya drafti ya Chama cha mpira wa kikapu Marekani mwaka 2017 na kusajiliwa na timu ya Utah Jazz, ambayo aliichezea kutoka 2017 hadi 2022. Yeye ni All-Star wa Chama cha mpira wa kikapu Marekani mara tano.

Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads