Dover, Delaware
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Dover ni mji mkuu na wa pili kwa ukubwa katika jimbo la Delaware nchini Marekani.[1] Mji upo katika eneo la Mto wa Mt. Jones katika pwani tupu ya Mto Delaware. Mji ulipewa jina na William Penn kwa ajili ya Dover huko Kent, Uingereza. Na kwa mwaka wa 2007, mji ulikadiriwa kuwa na wakazi wapatao 35,811.[2]

Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads