Duluth, Minnesota
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Duluth ni mji wa Marekani katika jimbo la Minnesota. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 275,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 214 kutoka juu ya usawa wa bahari.

![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Duluth, Minnesota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads