Minnesota
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Minnesota ni kati ya majimbo ya kujitawala ya Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu wa jimbo ni Saint Paul na mukubwa jimboni ni Minneapolis. Iko katikati ya Marekani bara ikipakana na Kanada (Manitoba) na Ontario), Wisconsin, Iowa, South Dakota, na North Dakota. Upande wa maawio kuna la ziwa Superior. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 5,220,939 (2008) wanaokalia eneo la 225,365 km² ambalo ni hasa milima na jangwa.


Remove ads
Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Minnesota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads