Dunga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Dunga (alizaliwa 31 Oktoba 1963) ni mchezaji wa zamani wa [mpira wa miguu] wa [Brazil]. Aliwahi kucheza Timu ya Taifa ya Kandanda ya Brazil.

Dunga ameichezea [Timu ya Taifa ya Kandanda ya Brazil] tangu mwaka wa 1987. Dunga alicheza Brazil katika mechi 91, akifunga mabao 6.[1]
Takwimu
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads