Dunia Salama Foundation
Shirika Lisilokuwa la Kiserikali From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Dunia Salama Foundation (DUSAFO) ni asasi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa mwaka 2020 na kupata usajili mwaka 2021, asasi hii ipo katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania.
Dunia Salama Foundation ni asasi isiyo ya kifaida yenye malengo ya kusaidia jamii katika masuala yanayohusu Teknolojia ya habari na Mawasiliano pamoja na mazingira.
Kupitia teknolojia ya habari na mawasiliano, asasi hii imekuwa ikiendesha mradi wake wa Mimi na TEHAMA, ambao umejikita zaidi katika kuwasaidia watoto na vijana wadogo [1] katika kufahamu mambo yanayohusu teknolojia.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads