Durango (jimbo)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Durango (jimbo)
Remove ads

Durango ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexico upande wa Mexico ya kati-magharibi ya nchi. Mji mkuu ni mkubwa ni Durango. Jimbo lina wakazi wapatao 1,509,117 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 123,181.

Thumb
Catedral basílica de Victoria de Durango, Mexico
Thumb
Bendera ya Durango
Thumb
Mahali pa Durango katika Mexiko

Sehemu kubwa ya eneo lake ni milima na misitu tu. Imepakana na Chihuahua, Coahuila, Zacatecas, Nayarit na Sinaloa. Mto Nazas ni mto muhimu.

Gavana wa jimbo ni Ismael Hernández Deras.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Remove ads

Miji Mikubwa

  1. Durango (463,830)
  2. Gómez Palacio (239,842)
  3. Lerdo (71 373)

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Durango (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads