Edmonton
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Edmonton ndiyo mji mkuu na mji mkubwa wa kwanza katika mkoa la Alberta, upande wa kati ya mkoa huu. Idadi ya wakazi ni 730,372 na eneo lake ni 684.37 m. Umbali na Calgary ni 277 km.
Mji ulianzishwa mwaka 1795.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Edmonton kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads