Edwin Krebs
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Edwin Krebs (6 Juni, 1918 – 21 Desemba, 2009) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza protini na kazi yake ndani ya seli.[1][2] Mwaka wa 1992, pamoja na Edmond Fischer, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Asichanganywe na Hans Adolf Krebs ambaye pia alikuwa mwanakemia na kupokea Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953.[3][4]

Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads