Efraimu (babu)

From Wikipedia, the free encyclopedia

Efraimu (babu)
Remove ads

Efraimu (kwa Kiebrania אֶפְרַיִם/אֶפְרָיִם, Efráyim) alikuwa, kadiri ya Kitabu cha Mwanzo 41:50-52, mtoto wa pili wa Yosefu na Asenath, binti Potifera, kuhani wa On.

Thumb
Yakobo akibariki Efraimu na Manase.

Efraimu alizaliwa nchini Misri kabla Yakobo Israeli na wanae hawajahamia huko kutoka Kanaani (Mwa 48:5).

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads