Eleusa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Eleusa (kwa Kigiriki: Ἐλεούσα – hisani) ni mtindo wa picha takatifu unaomuonyesha Bikira Maria akimpakata mtoto Yesu, nyuso zao zikigusana.[1][2]

Kati ya picha takatifu za aina hiyo, maarufu zaidi ni ile ya Bikira Maria wa Vladimir kutoka Urusi.
Aina hiyo ya michoro inapatikana hata katika Ukristo wa Magharibi[3][4]
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads
