Elfu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Elfu ni namba inayoandikwa 1000 (moja sifuri sifuri sifuri) kwa tarakimu za kawaida, ila kwa namba za Kirumi M tu (kutokana na neno la Kilatini mille, yaani elfu moja). Miaka elfu inaitwa milenia, kutokana na Kilatini millennium (ambapo mille ni elfu na annus ni mwaka).

Ni namba ambayo inafuata 999 na kutangulia 1001. Jina linatokana na Kiarabu na kutamkwa pia alfu.

Ni namba asilia inayofuata 999 na kutangulia 1001.

Inaweza kuandikwa pia 103.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 5 x 5 x 5 (au 23 x 53).

Remove ads

Matumizi

Tanbihi

Loading content...

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads