Elfu moja na moja
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Elfu moja na moja ni namba inayoandikwa 1001 (moja sifuri sifuri moja) kwa tarakimu za kawaida, ila kwa namba za Kirumi MI tu.
Ni namba asilia inayofuata 1000 na kutangulia 1002.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 7 x 11 x 13.[1]
Matumizi
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads