Elizabeth Swai

mjasiriamali From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Elizabeth Swai (alizaliwa tar.) ni mwanamke mjasiriamali aliyepitia changamoto nyingi katika mafanikio yake.

Ukweli wa haraka Kazi yake ...



Mafanikio

Alianza maisha ya kujitegemea akiwa na umri mdogo. [1]

Akiwa na umri wa miaka 18, Elizabeth aliajiriwa na shirika la UNHCR hadi mnamo mwaka 2003. Baada ya kuacha kazi hiyo, Elizabeth alifanya utafiti wa kina kuhusiana na mambo ya ufugaji. Kisha kuridhishwa na utafiti wake aliweza kupata wadhamini wawili wa kumwezesha kuanzisha kampuni yake ya AKM Gilters, iliyoanzishwa mnamo mwaka 2006.

Ana mtoto mmoja wa kike.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads