Ellie Goulding
Mwanamuziki wa Uingereza From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Elena Jane Goulding (alizaliwa 30 Disemba 1986) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo nchini Uingereza.
Remove ads
Kazi
Alianza kazi alipokutana na watayarishaji wa muziki Starsmith na Frankmusik, na baadae akaonekana na Jamie Lillywhite, ambae baadae akawa meneja wake.[1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads