Eric Kandel
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Eric Kandel (amezaliwa 7 Novemba, 1929) ni mwanasaikolojia na daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza misingi ya kisaikolojia ya ufahamu. Mwaka wa 2000, pamoja na Paul Greengard na Arvid Carlsson, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
![]() |
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eric Kandel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |

Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads