Erzurum
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Erzurum (Kiarmenia: Կարին Karin) ni mji uliopo mashariki mwa Anatolia, Uturuki. Jina la "Erzurum" linatokana na Kiarabu, yaani, "Arz-u Rûm" (maana yake Nchi ya Waroma[1]).

Mji wa Erzurum, una wakazi wapatao 361,235 (kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000). Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Erzurum, ambao ni jiji kubwa katika Mkoa Mashariki wa Uturuki ya Anatolia. Mji upo katika mita 1757 (futi 5766) kutoka juu ya usawa wa bahari na mji wenye hali ya baridi sana.
Remove ads
Historia
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads