Esther Mwaikambo
Daktari wakike kutoka Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Esther Daniel Mwaikambo (alizaliwa mwaka 1940)[1] ni daktari wa nchini Tanzania aliyebobea katika tiba ya magonjwa ya watoto wadogo.
Anafanya kazi katika Chuo Kikuu cha Makumbusho ya Hubert Kairuki (The Hubert Kairuki Memorial University)[2].
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads