Eva Longoria

From Wikipedia, the free encyclopedia

Eva Longoria
Remove ads

Eva Jacqueline Longoria (amezaliwa 15 Machi 1975) ni mshindi wa tuzo ya Golden Globe-mwigizaji bora filamu na tamthilia kutoka nchi ya Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la Gabrielle Solis aliloigiza katika tamthilia ya Desperate Housewives iliyokuwa inarushwa hewani na televisheni ya ABC ya Marekani.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Kazi yake ...
Remove ads

Maisha ya kibinafsi

Eva Longoria aliolewa na mwigizaji Tyler Christopher kutoka mwaka wa 2002 hadi 2004.[1] Longoria alikutana na Tony Parker mnamo Novemba 2004, na akaposwa mnamo 30 Novemba 2006.[2] Wawili hawa walioana mjini Paris mnamo 6 Julai 2007 katika sherehe ya Kikatoliki.[3]

Filamu

Maelezo zaidi Mwaka, Jina la kipindi ...
Maelezo zaidi Mwaka, Kipindi ...
Remove ads

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads