Paris
mji mkuu wa Ufaransa From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paris (kwa Kifaransa: [paʁi] (info)) ndiyo mji mkuu na mji mkubwa wa Ufaransa ukiwa na wakazi 2,140,526 mwanzoni mwa mwaka 2019.

Remove ads
Jiografia
Mji wa Paris unapatikana katika Ufaransa ya kaskazini.
Mto Seine unatiririka kupitia mji huo.
Picha
- Notre Dame
- Arc de Triomphe
- Place Dauphine
- Tuileries, Louvre
- Val-de-Grace
- Palais du Luxembourg
- Marché à la Rue Mouffetard
- Vue depuis Montmartre
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Paris kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads