Fabrice Kwizera
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fabrice Patient Kwizera (Bujumbura, 28 Machi 1994) ni msanii wa maigizo na filamu kutoka nchini Burundi. Katika historia ya tasnia ya filamu nchini Burundi, Kwizera anajulikana kua ameigiza katika filamu fupi kutoka inchini Congo inayo itwa Viva Riva!.
Remove ads
Maisha
Fabrice alianza masomo yake katika shule ya msingi ya Cibitoke, na kuendela na masomo ya sekondari huko Municipal Lycee of Cibitoke na baadae kupata uhamisho katika shule moja jijini Bujumbura iitwayo Lake Tanganyika Lycee. Alivyomaliza kidato cha mwisho ndipo alianza shuli za kucheza filamu alipo kutana na mutayarishaji Ivan Goldschmidt kutoka inchini Ubelgiji.
Filamu na Tamthilia Alizotunga
- 2010 : Na Wewe (Na Wewe: Swahili) – Kama Rebel
- 2010 : Viva Riva! Ya Djo Tunda Wa Munga – Kama Jason.
Viungo vya nje
- Fabrice Kwizera at the Internet Movie Database
- Fabrice Kwizera on Twitter
- www.FabriceKwizera.com Ilihifadhiwa 17 Mei 2014 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fabrice Kwizera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads