Falsafa ya elimu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Falsafa ya elimu ni utafiti wa kifalsafa juu ya kusudi, utaratibu na ubora wa elimu, kwa kuchunguza ufafanuzi, malengo na maana ya elimu kwa jumla au ya mtazamo mmojawapo juu yake.

Falsafa ya elimu kwa kawaida huonwa kama tawi la falsafa na la elimu vilevile.
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads