Fernando Sancho
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fernando Sancho (7 Januari 1916 - 31 Julai 1990) alikuwa muigizaji wa filamu kutoka nchini Hispania. Sancho alizaliwa mjini Zaragoza, Aragón, Hispania, akaja kuiaga dunia mjini Madrid baada ya kufanyiwa upasuaji.

Fernando pia aliwahi kuonekana katika filamu za western, ambazo nyingi zilitaarishwa na mataarishaji Ignacio F. Iquino, vile vile kuna kipindi huonekana katika filamu alizocheza nyota Richard Harrison.
Remove ads
Tazama pia
Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fernando Sancho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads