Zaragoza
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Zaragoza (matamshi ya Kihispania: θaɾaˈɣoθa; pia: Saragossa[1] kwa Kiingereza[2]) ni mji wa Hispania, makao makuu ya Mkoa wa Zaragoza na ya jumuia ya kujitegemea ya Aragon.

Tarehe 1 Januari 2019 wakazi wake walikuwa 706,904,[3] katika eneo la km² 1062.64, ukiwa wa tano nchini kwa wingi wa watu, na wa 32 katika Umoja wa Ulaya.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads