Fisi madoa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Fisi madoa ni mmoja wa spishi za fisi ambao ni wanyama wanaokula mizoga yaani wanyama waliokufa au walioachwa na wanyama wala nyama, kwa mfano simba au chui.
Fisi madoa pia ni wawindaji wazuri ambao wanaweza kujitafutia kitoweo chao wenyewe badala tu ya kutegemea mizoga.
Mbali na kula nyama, fisi madoa pia hula ndege, mijusi na wadudu.
Remove ads
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fisi madoa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads