Forum Confluentes
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Forum Confluentes ni nyumba moja ya mji ya Koblenz.



Forum Confluentes imetengeneza huko mahali ua katikati "Zentralplatz" kando ya nyumba ya maduka "Forum Mittelrhein".
Lakini Forum Confluentes hamna maduka, ni nyumba mpya ya maktaba ya mji Koblenz, ofisini ya utalii, makumbusho ya Rhine katikati (Kijerumani: "Mittelrheinmuseum") na sinema ya utalii.
Sehemu ya zamani ya maktaba ya mji ilikuwa nyumba tatu karibu na Forum Confluentes "Zentralbibliothek" (maktaba kuu), Musikbibliothek umd Jugendbibliothek (maktaba ya muziki na ya wadogo) na Stadtarchiv (archivi ya mji), sasa hizi ni ndani ya nyumba moja tu.
Pia juu ya paa ya Forum Confluentes kuna balkoni ya kuangalia mjini.
Remove ads
Viungo vya nje
- Tovuti ya Forum Confluentes (Kijerumani)
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads