Koblenz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Koblenz ni mji wa Rhine-Palatino nchini Ujerumani ya Magharibi. Idadi ya wakazi wake ni takriban 106.445.

Koblenz ipo ardhi ya Hunsrueck (kusi ya mto Moselle), Eifel (kaskazini wa Moselle) na Westerwald mashariki ya mto Rhine.





Remove ads
Trafiki
Koblenz ina vituo vya treni sita (kituo kikuu, Ehrenbreitstein, Stadtmitte, Lützel, Moselweiss na Güls.
Hamna treni za barabarani, treni za mji au treni za mkoani, lakini mabasi la masafa marefu (kuna stopi kusini ya kituo kikuu cha reli), ma asi la eneo na mabasi la jiji.
Kuna Treni za mlima inaendeshwa kutoka kituo chini ya kati Ehrenbreitstein hadi kituo cha ngome ya Ehrenbreitstein na Koblenz Seilbahn pia inaendeshwa ngome ya Ehrenbreitstein kutoka kata ya Altstadt.
Remove ads
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Koblenz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads