Frederick Werema
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Frederick Mwita Werema (10 Oktoba 1955 – 30 Desemba 2024) alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania kuanzia mwaka 2009 hadi alipojiuzulu mwaka 2014.
Kabla ya kuteuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu, Werema alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania katika Kitengo cha Biashara.[1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads