Friesland
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Friesland ni mkoa ulioko kaskazini mwa Uholanzi. Jina lake linatokana na wafrisia. Friesland inapakana na Flevoland na Overijssel upande wa kusini, Groningen upande wa mashariki, Bahari ya Wadden upande wa magharibi, na Ujerumani upande wa kaskazini.Friesland ina idadi ya watu takriban 650,000 na eneo la kilomita za mraba 5,749.Kifrisia cha magharibi na Kiholanzi ndizo lugha rasmi zinazozungumzwa Friesland, mandhari nzuri, na urithi wake wa kiutamaduni, ikijumuisha ziara maarufu ya sketi ya barafu ya miji kumi na moja na mila za baharini za kipekee.Leeuwarden ndio mji mkuu na jiji Kubwa la Friesland.


Remove ads
Viungo vya nje
- Tovuti rasmi (Kiholanzi)
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uholanzi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Friesland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads