Frozen (filamu ya 2013)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Frozen ni filamu ya katuni-muziki ya mwaka 2013 kutoka Marekani iliyotayarishwa na Walt Disney Animation Studios na kutolewa na Walt Disney Pictures.[4] Hii ni filamu ya 53 kutolewa katika mfululizo wa filamu za Walt Disney Animated Classics.
Remove ads
Muhtasari wa hadithi
Filamu inahusu watoto wawili wa mfalme; mmoja anaitwa Anna na mwingine anaitwa Elsa. Elsa alikuwa ndiye mkubwa na alikuwa amezaliwa na uwezo wa kutowa barafu mikononi. Siku moja wazazi wao walisafiri na katika safari hiyo njiani kwa bahati mbaya walipata ajali. Ajali hiyo ilisababisha wakapotezamaisha, baada ya hapo mtoto wao mkubwa Elsa alikuwa malkia katika mji uitwao Dameski lakini ilipogundulika kuwa ananguvu za ajabu walimkataa na kutaka kumuua. Kujisaindia alikimbia na kwenda kuishi mbali ili asije akawadhuru kwa nguvuzake.
Mdogo wake ambaye ni Anna aliamua kumfuata dada yake ambaye ni Elsa kwenda naye katika mji unaoitwa Dameski akawe malkia wao akakubali alivyo jua kuzikontrolunguvuzake nakuenda pamoja naye. Mwisho wananchi walimkubalia akawa mtawala wao malikia Elsa.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads