Fujairah

From Wikipedia, the free encyclopedia

Fujairah
Remove ads

Fujairah (kwa Kiarabu: الفجيرة) ni emirati mojawapo ya Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni, upande wa Ghuba ya Oman. Peke yake inaundwa na milima kwa kiasi kikubwa.

Thumb
Minara ya Mskiti wa Al Badiyah, ulio wa zamani kuliko miskiti yote ya Falme za Kiarabu[1].
Thumb
Falme za Kiarabu.

Mtawala wake ni Sheikh Hamad bin Mohammed Al Sharqi.

Utemi una wakazi 225,360 (2016[2]) katika eneo la km² 1,166.

Remove ads

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads