Gävle
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gävle ni mji nchini Uswidi. Mji ulianzishwa 1446. Kuna wakazi 68,700 (mwaka 2005). Kraft General Foods Scandinavia ni kampuni kubwa ya utengenezaji wa kahawa


Jiografia
Eneo lake ni 41.79 km². Iko kando ya Bahari ya Baltiki.
- Buzi ya Krismasi
- Mji mzee wa Gävle
- Chuo cha Watu wa Gävle
Viungo vya nje
- www.gavle.se Ilihifadhiwa 2 Desemba 2020 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gävle kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads