Gabriel Batistuta
mchezaji wa mpira wa Argentina From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gabriel Omar Batistuta (alizaliwa 1 Februari 1969) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa Argentina maarufu kama Batigol[1].

Ni kati ya wachezaji bora wa nyakati zote, hasa kutokana na shuti zake kutoka mbali.[2][3]
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads