Gandhinagar
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gandhinagar ni jina la mji mkuu wa jimbo la Gujarat katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 2.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 81 kutoka juu ya usawa wa bahari.


Remove ads
Viungo vya nje
- (Kiingereza) Gujarat Information Bureau (Tovuti rasmi) Ilihifadhiwa 12 Juni 2010 kwenye Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gandhinagar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads