Gujarat

From Wikipedia, the free encyclopedia

Gujarat
Remove ads

Gujarat ni jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho la Uhindi.

Thumb
Gujarat kwenye ramani ya India.
Thumb
Ramani ya Gujarat.
Thumb
Ramani ya Gujarat.

Mji mkuu ni Gandhinagar ambao ni mji mpya uliopewa jina hilo kwa heshima ya Mahatma Gandhi aliyezaliwa Porbandar, jimboni Gujarat. Mji mkubwa ni Ahmedabad, ukifuatwa na Surat.

Gujarat ina eneo la km² 196,024 zinazokaliwa na watu milioni 50.

Lugha rasmi ni Kigujarati inayotumiwa na asilimia 80 za wakazi.

Wengi wao ni Wahindu (88.57%), kuna pia Waislamu (9.67%), Wajain (0.96%), Wakristo (0.52%) n.k.

Maelezo zaidi Jina, Wilaya ...


Remove ads

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gujarat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads