Gary Lineker
Wachezaji mpira wa Uingereza na Mtangazaji wa Televisheni From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gary Lineker (alizaliwa 30 Novemba 1960) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Uingereza. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Uingereza.
'
Lineker ameichezea timu ya taifa ya Uingereza tangu mwaka wa 1984. Lineker alicheza Uingereza katika mechi 80, akifunga mabao 48.[1]
Remove ads
Takwimu
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads