Gbadolite

Gbadolite (tamka [ɡ͡badɔlite]) ni mji, mji mkuu wa mkoa wa Nord-Ubangi, kaskazini-magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Gbadolite ni mji ulio makao makuu ya mkoa wa Ubangi Kaskazini, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).

Makadirio ya idadi ya watu ni 113,807 (2004).

Ndio mji asili wa dikteta Mobutu Sese Seko ambaye aliuendeleza sana.

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads