Gerard Butler
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Gerard James Butler (amezaliwa tar. 13 Novemba 1969) ni mwigizaji filamu wa Kiscotland. Huenda akawa anafahamika kwa jina la Mfalme Leonidas kutoka katika filamu ya 300 na The Phantom ya mwaka wa 2004.
Remove ads
Wasifu
Maisha ya awali
Butler alizaliwa mjini Glasgow, ni mtoto wa Margaret na Edward Butler. Babu yake na bibi yake walitokea nchini Ireland. Butler alikulia katika maisha ya dini sana, na familia yao walikuwa waumini wakubwa wa dhehebu la Wakatoliki. Baadaye familia ilielekea Montreal na si muda mrefu baba na mamake Butler wakatarikiana, na mamake akamchukua Butler na na ndugu zake wengine wakarudi zao Uskoti, katika mji wa Paisley alipozaliwa mamake Butler. Toka kipindi hicho hakuwa na mawasiliano zaidi na babake hadi alipofikisha umri wa miaka kumi na sita.
Remove ads
Filamu alizoigiza
Remove ads
Marejeo
- http://www.filmreference.com/film/73/Gerard-Butler.html
- http://gerardbutler-es.com/index.php?option=com_content&task=view&id=1505&Itemid=116&lang=en Ilihifadhiwa 5 Januari 2008 kwenye Wayback Machine.
- http://gerardbutlerusa.com/Interviews.html Ilihifadhiwa 21 Novemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- http://www.hellomagazine.ca/profiles/gerardbutler/ Ilihifadhiwa 3 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.
- http://www.canada.com/topics/entertainment/story.html?id=50e2e2f3-f765-4d9c-88e6-a39959023abb&k=97955 Ilihifadhiwa 3 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads